sw_tw/bible/names/mishael.md

435 B

Mshaeli

Ufafanuzi

Mishaeli ni jina la wanaume wa tatu katika Agano la Kale.

  • Mwanaume mmoja anaye itwa Mishaeli alikuwa binamu wa Aruni. Wana wawili wa Aruni walipo uliwa na Mungu baada ya kufukiza uvumba kwa namna ambayo haikumpendeza Mungu, Mishaeli na kaka yake walipewa jukumu la kubeba maiti nje ya kambi ya Waisraeli.
  • Mwanaume mwingne aitwaye Mishaeli alisimama kando ya Ezra alipo soma hadharani sheria aliyo ikuta.