sw_tw/bible/names/marymagdalene.md

369 B

Mariamu Magdalena

Ufafanuzi

Mariamu Magdalena alikuwa miongoni mwa wanawake waliyo muamini Yesu na kumfuata katika huduma yake. Alijulikana kama kama Yesu aliye mponya kutoka kwa mapepo saba waliyo mtawala.

  • Mariamu Magdalena na wanawake wengine walimsaidia Yesu na mitume kwa kutoa kwa.
  • Pia anatajwa kama mmoja wa wanawake waliyo muona Yesu alipoo fufuka.