sw_tw/bible/names/manofgod.md

270 B

mtu wa Mungu

Ufafanuzi

Msemo "mtu wa Mungu" ni heshima ya kutaja nabii wa Yahweh. Pia utumika kuhusu malaika wa Yahweh.

  • Unapo taja nabii, hii yaweza pia tafsiriwa kama " mtu aliye wa Mungu" au "mwanaume Mungu aliye mchagua" au "mwanaume anaye mtumikia Mungu"