11 lines
531 B
Markdown
11 lines
531 B
Markdown
# Listra
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Listra ni jina mji katika Asia ndogo ambao Paulo alitembelea katika moja ya safari zake za kimisionari. Ilikuwa katika eneo la Likaonia ambapo sasa ni nchi ya Uturuki ya leo.
|
|
|
|
Paulo na wenzake walitoroka kwenda Derbe na Listra walipotishwa na Wayahudi Ikonio.
|
|
Akiwa Listra, Paulo alikutana na Timotheo aliyekuwa mwinjilisti mwenzake na mpandaji wa makanisa.
|
|
Baada ya Paulo kumponya kilema Listra, watu walijaribu kuwaabudu Paulo na Barnaba kama miungu, lakini mitume waliwakemea na kuwazuia kufanya hivyo.
|
|
|