12 lines
453 B
Markdown
12 lines
453 B
Markdown
# Yoramu
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Yoramu mwana wa Ahabu alikuwa mfalme Israeli. Wakati mwingine anajulikana kama "Yehoramu."
|
|
|
|
Mfalme Yoramu wa Israeli alitawala wakati mmoja kama Yehoramu wa Yuda.
|
|
Yoramu alikuwa mfalme muovu aliyeabudu miungu ya uongo na kusababisha watu wa Israeli kutenda dhambi.
|
|
Mfalme Yoramu wa Israeli pia alitawala wakati wa nabii Eliya na Obadia.
|
|
Mwanamme mwingine aitwaye Yoramu alikua mwana wa mfalme wa Hamathi wakati Daudi ni mfalme.
|
|
|