sw_tw/bible/names/haggai.md

495 B

Hagai

Ufafanuzi

Hagai alikuwa ni nabii wa Yuda katika kipindi ambacho Wayahudi walikuwa wamerudi kutoka matekani huko Babeli. Hagai alitabiri katika kipindi ambacho watu wa Israeli walikuwa chini ya utawala wa liwali Zerubabeli.
katika kipindi hiki pia, nabii Zekaria alikuwa akitabiri yaani Hagai na Zekaria walifanya kazi katika kipindi kimoja. Hagai na Zekaria waliwasihi sana Wayahudi ili walijenge Hekalu ambalo lilikuwa limebomolewa na Wababeli chini ya mfalme Nebukadreza.