sw_tw/bible/names/corinth.md

556 B

Korintho, Wakorintho

Ufafanuzi

Korintho ulikuwa mji katika nchi ya Ugiriki maili 50 mangharibi mwa Athene. Wakorintho walikuwa watu walioishi Korintho.

  • Korintho ilikuwa moja kati ya sehemu ya makanisa ya kwanza.
  • Vitabu vya agano jipya kitabu cha kwanza cha Wakorintho na kitabu cha pili cha Wakorintho ni barua zilizoandikwa na Paulo kwa wakristo walioishi Korintho.
  • Paulo alikutana na waamini Akila na Prisila alipokuwa Korintho.
  • Viongozi wengine wa mwanzo wa Korintho waliokuwa na mahusiano na Korintho ni Timotheo, Tito, Apolo na Sila.