sw_tw/bible/names/canaan.md

489 B

Kanaani, Mkanaani

Ufafanuzi

Kanaani alikuwa mtoto wa Hamu, ambaye alikuwa moja ya watoto wa Nuhu. Wakanaani walikuwa vizazi vya Kanaani.

  • Neno "Kanaani" au "nchi ya Kanaani" pia limerejelewa kwenye eneo la nchi kati ya Mto Yordani na Bahari ya Meditrenia. Iliendelea kusini mpaka kwenye mpaka wa Misri na kaskazini ya mpaka wa Siria.
  • Hii nchi ilikuwa makazi kwa Wakanani, na makundi ya watu wengine wengi.
  • Mungu aliahidi kumpa Ibrahim na uzo wake nchi ya Kanaani, Waisraeli.