sw_tw/bible/names/berea.md

492 B

Berea (Beroya)

Ufafanuzi

Katika nyakati za Agano Jipya, Berea(Beroya) ulikuwa mji wa Kigriki wenye mafanikio kusini mashariki mwa Masedonia, umbali wa kilometa 80 kusini mwa Thesalonike.

  • Paulo walikimbilia katika mji wa Berea baada ya Wakristo wenzao kuwasaidi kutoroka kutoka kwa Wayahudu kadhaa waliowasababishia shida huko Thesalonike.
  • Watu waliokuwa wakiishi Berea walipomsikia Paulo akihubiri, waliyachunguza maandiko kuthibitisha ikiwa alichokuwa akiwambia kilikuwa kweli.