sw_tw/bible/names/ashkelon.md

374 B

Ashikelo

Ufafanuzi

Katika Biblia, Ashikelo ni mji wa wafilisti ulioko pwani Bahari ya Mediterania. Bado ipo mpaka leo Israeli.

  • Ashikelo ulikuwa mji wa muhimu sana wa Wafilisti pamoja na Ashdodi, Ekironi, Gati na Gaza.
  • Waisraeli hawakuiteka kabisa Ashikelo japokuwa ufalme wa Yuda ulisambaa nchi nzima.
  • Ashikelo iliendelea kukaliwa na Wafilisti kwa miaka mia.