sw_tw/bible/names/asher.md

364 B

Asheri

Ufafanuzi

Asheri alikuwa mtoto wa nane wa Yakobo. Uzao wake unaunda moja ya makabila kumi na mbili ya Israeli ambalo pia linaitwa Asheri.

  • Mama yake na Asheri aliitwa Zilpa, mtumwa wa Lea.
  • Maana ya jina lake ni "furaha" au "baraka."
  • Asheri pia lilikuwa jina la ngome ambayo kabila la Asheri walipewa baada ya Waisraeli kuingia nchi ya ahadi.