sw_tw/bible/names/ashdod.md

532 B

Ashdodi, Azoto

Ufafanuzi

Ashdodi ulikuwa ni moja kati ya miji mitano muhimu kwa Wafilisti. Mji huu ulikuwa kusinimagharibi mwa Kanani karibu na bahari ya Mediterranean, kkati ya miji ya Gaza na Jopa.

  • Hekalu la Wafilisti lililokuwa mungu wa uongo dagoni lilikuwa Ashdodi.
  • Mungu aliwaadhibu watu wa Ashdodi wakati Wafilisti walipoiba sanduku la agano na kuliweka katika hekalu la kipangani huko Ashdodi.
  • Jina la kigiriki la huu mji lilikuwa Azoto. Ulikuwa moja kati ya miji ambayo mwinjilisti Philipo alihubiri injili.