sw_tw/bible/names/asa.md

412 B

Asa

Ufafanuzi

Asa alikuwa mfalme aliyetawana ufalme wa Yuda kwa miaka arobaini. toka 913-873 BC.

  • Mfalme Asa alikuwa mfalme mzuri aliyeondoa sanamu nyingi za miungu na kusababisha Waisraeli waanze kumuabudu tena Yahweh.
  • Yahweh alimpa mfalme Asa mafanikio ya utajiri dhidi ya mataifa mengine.
  • Baadae katika utawala wake Asa aliacha kumuamini Yahweh na akaugua ugonjwa ambao ulipelekea kifo chake.