sw_tw/bible/names/arabah.md

460 B

Araba

Ufafanuzi

Katika agano la kale "Araba" imetumika kuelezea jangwa kubwa au maeneo tambarare yanayojumuisha bonde jirani na mto Yordani hadi kusini kwenye ncha ya kaskazini mwa bahari ya shamu.

  • Waisraeli walisafiri kupitia jangwa toka Misri kwenda Kaanani.
  • "Bahari ya Araba" inaweza kutafsiriwa kama "bahari iliyopo kwenye mji wa jangwa la Araba" au "bahari ya chunvi" au "bahari iliyokufa."

Araba pia yaweza kuwa sehemu yoyote yenye jangwa.