sw_tw/bible/names/ammon.md

349 B

Amoni, Waamoni wanaume, Waamoni wanawake.

Ufafanuzi

"Waamoni" lilikuwa kundi la watu walioishi Kaanani. Walikuwa uzao wa Benyamini, aliyekuwa mtoto wa Lutu.

  • Waamoni wanawake walitafsiriwa moja kwa moja kuelezea kuwa walikuwa wanawake.
  • Wakati fulani Waamoni walimlipa nabii Balamu ili awalaani Waisraeli, lakini Mungu hakuliruhusu hilo.