375 B
375 B
Abiya
Ufafanuzi
Abiya ni jina la watu mbalimbali katika agano la kale. Wafuatao ni watu hao:
- Abiya lilikuwa jina la nabii katika kipindi cha Sauli.
- Abiya alikuwa katibu katika kipindi cha utawala wa Sulemani.
- Abiya lilikuwa jina la nabii toka Shilo aliyetabiri kuwa ufalme wa Israeli utagawanyika mara mbili.
- Baba wa mfalme Baasha wa Israeli aliitwa Abiya.