sw_tw/bible/kt/unleavenedbread.md

646 B

mkate usiyotiwa chachu

Ufafanuzi

Neno "mkate usiyotiwa chachu" una lina maana mkate unatengenezwa pasipo hamira. Aina huu wa mkate ni bapa kwasababu hauna hamira kuufanya uumuke.

  • Mungu alipo wachia Waisraeli kutoka utumwani Misri, aliwaambia wakimbie Misri haraka pasipo kusubiri mkate wao uumuke. Hivyo walikula mkate usiyotiwa chachu na vyakula vyao. Tangu hapo mkate usiyotiwa chachu unatumika kwenye Pasaka zao za mwaka kuwa kumbusha hicho kipindi.
  • Maana chachu wakati mwingine utumika kama picha ya dhambi, "mkate usiyotiwa chachu" una wakilisha ondoleo la dhambi kwenye maisha ya mtu ilikuweza ishi namna inayo mpendeza Mungu.