sw_tw/bible/kt/transgression.md

351 B

vuka mpaka, kosa

Ufafanuzi

Maneno "vuka mpaka" na "kosa" ina eleza kuvunja amri, sheria.

  • Kifumbo, "vunja mpaka" yaweza elezwa kama "vuka mstari," yani, kwenda zaidi ya kiwango, kilicho wekwa kwa wema wa huyo mtu na wengine.
  • Maneno "vuka mpaka," "dhambi" "kosa," yote ina maana ya kutenda dhidi ya mapenzi ya Mungu na kutotii amri zake.