475 B
475 B
nafsi
Ufafanuzi
Nafsi ni sehemu ya ndani, isiyo onekana ya mtu. Ya husu sehemu isiyo ya kimwili ya mtu.
- Maneno "nafsi" na "roho" yanaweza kuwa mitazamo miwili tofauti, au inaweza kuwa maneno mawili yanayo eleza mtazamo mmoja.
- Mtu anapo kufa, nafsi yake ya acha mwili.
- Neno "nafsi" wakati mwingine utumika kimafumbo kueleza mtu kamilifu. Kwa mfano, "nafsi inayo fanya dhambi" ina maana, "mtu anaye fanya dhambi" na "nafsi yangu imechoka," ina maana "nimechoka"