sw_tw/bible/kt/son.md

839 B

mwana, mwana wa

Ufafanuzi

Neno "mwana" la husu mvulana au mwanaume na wazazi wake. La weza eleza mzao wa kiume wa mwanaume au mwana aliye pangwa.

  • "Mwana" ni linatumika sana kifumbo katika Biblia kueleza mzao wa kiume, kama mjukuu au kitukuu.
  • Neno "mwana" pia la weza kama rasmi ya kumtaja mvulana au mwanaume aliye mdogo.
  • Wakati mwingine "wana wa Mungu" lina tumika katika Agano Jipya kueleza waamini wa Yesu.
  • Mungu anamuita Israeli "mwana wake wa kwanza." Hii yaeleza Mungu kuchagua taifa la Israeli kuwa watu wake maalumu. Ni kupitia wao kuwa ujumbe wa Mungu wa wokovu ulikuja, kwa matokeo kwamba wengi wamekuwa wana wake wa kiroho.
  • Maneno "mwana wa" mara nyingi ina maana ya kimafumbo, "kuwa na tabia ya."
  • Maneno "mwana wa" pia linatumika kueleza baba wa mtu. Hili neno linatumika katika vizazi na sehemu nyingine.