sw_tw/bible/kt/savior.md

10 lines
492 B
Markdown

# Mwokozi
## Ufafanuzi
Neno "Mwokozi" lina husu mtu anaye okoa au komboa wengine na hatari. Pia yaweza maanisha mtu anaye wapa wengine uwezo au waitaji yao.
* Katika Agano la Kale, Mungu anatajwa kama Mwokozi wa Waisraeli kwasababu mara nyingi aliwaokoa na maadui zao, akawapa uwezo, na kuwapa maitaji yao.
* Katika Agano Jipya, "Mwokozi" linatumika kama elezo au cheo cha Yesu Kristo kwasababu anaokoa watu kutoadhibiwa milele kwa dhambi zao. Pia ana waokoa na kutawaliwa na dhambi zao.