sw_tw/bible/kt/restore.md

392 B

Kurejesha, marejesho

Ufafanuzi

Kurejesha au marejesho ni kusababisha kitu kirudi katika uhalisia wake au katika hali nzuri.

  • Mwili wa mgonjwa unaporejeshwa inamaana kuwa unaponywa.
  • Mahusiana yaliyovunjika yakirejeshwa inakuwa kitendo cha kurudiana. Mungu huwarejesha wenye dhambi na kuwarudisha kwake.
  • Watu wakirejeshwa kwenye nchi zao inamaana "wanarudishwa" kwenye nchi hizo.