sw_tw/bible/kt/ransom.md

382 B

Fidia

Ufafanuzi

Fidia ni kiasi cha pesa au malipo mengine yanayohitajika kwa ajili ya kumuachia mtu aliyefungwa.

  • "Kutoa fidia" ni kufanya malipo au kutoa kitu ili kumkomboa mtu aliyepo kifungoni au utumwani.
  • Yesu alikubali kuuawa kama fidia ya kuwaweka huru wenye dhambi toka kwenye utumwa wa dhambi. Hiki kitendo cha Mungu kuwanunua watu wake ki kitendo cha ukombozi.