sw_tw/bible/kt/rabbi.md

285 B

Rabi, Raboni

Ufafanuzi

Rabi ina maana ya bwana wangu au mwalimu wangu.

  • Kilikuwa cheo cha heshima kilichotumiwa kumuelezea mtu aliyekuwa kiongozi wa dini ya Kiyahudi hasi aliyefundisha sheria za Mungu.
  • Yohana mbatizaji na Yesu mara nyingine waliitwa Rabi na wanafunzi wao.