sw_tw/bible/kt/purify.md

819 B

safi, kusafisha

Ufafanuzi

Kuwa "safi" inamaana kutokuwa na mapungufu au kutochanganya kitu ndani ya kitu ambacho hakitakiwi kuchanganywa. Kukisafisha kitu ni kitendo cha kukisafisha na kuondoa chochote kinachoweza kuchafua.

  • Kwa kutumia sheria za agano la kale "kusafisha" ni kitendo cha kuondoa uchafu kiibada kwenye kitu au mtu kinachoweza kumfanya asiwe msafi kama magonjwa, kutokwa damu au kujifungua.
  • Katika agano jipya pia kuna sheria zinazowaambia watu namna ya kujisafisha toka kwenye dhambi hasa kwa kutoa sadaka ya wanyama. Hii ilikuwa ya muda tuu na sadaka hii ilirudiwa mara kwa mara.
  • Katika agano jipya kusafishwa ni kitendo cha kusafishwa toka kwenye dhambi.
  • Njia pekee ya watu kusafishwa kabisa toka kwenye dhambi ni kwa kutubu dhambi zao na kupokea msamaha wa Mungu kwa kumwamini Yesu.