sw_tw/bible/kt/perish.md

364 B

Kupotea, kuharibika

Ufafanuzi

"Kupotea" inamaanisha kufa au kuharibiwa maranyingi huwa ni baada ya mapigano au majanga. Katika Biblia inamaana zaidi ya kuhukumiwa milele jehanamu.

  • Watu waliopotea ni wale wanaoenda jehanamu kwa sababu walikataa kumwamini Yesu kwa ajili ya wokovu wao.
  • Yohana 3:16 inatufundisha "kupotea" ni kutokuishi milele mbinguni.