sw_tw/bible/kt/pentecost.md

684 B

Pentekoste au sikukuu za majuma

Ufafanuzi

Sikukuu za majuma ilikuwa ni sikukuu ya Kiyahudi iliyofanyika siku hamsini kabla ya Pasaka. Baadae ilikuja kuitwa Pentekoste.

  • Sikukuu za majuma ilikuwa wiki sabini (siku hamsini) baada ya sherehe ya matunda ya kwanza. Katika agano jipya sikukuu hii iliitwa "pantekoste."
  • Sikukuu za majuma zilikuwa maalumu kwa ajili ya kusherehekea mwanzo wa mavuno ya nafaka. Pia ilikuwa muda wa kumkumbuka siku ambayo Mungu aliwapa sheria Waisraeli katika vibao vya mawe alivyopewa Musa.
  • Katika agano jipya siku ya Pentekoste imeelezewa moja kwa moja kwa sababu ilikuwa siku ambayo waliomwamii wa Yesu walipokea roho mtakatifu kwa njia mpya.