sw_tw/bible/kt/parable.md

638 B

Mfano

Ufafanuzi

"Mfano" ni simulizi fupi au somo fulani linalotumika kuelezea au kufundisha ukweli wa maadili.

  • Yesu alitumia mifano akiwafundisha wanafunzi wake. Japokuwa pia aliwaambia mifano makutano ya watu, mara nyingi hakuielezea mifano.
  • Mfano ulitumika kuonesha ukweli kwa wanafunzi wake wakati akificha ukweli huo kwa watu kama Mafarisayo ambao hawakumwamini Yesu.
  • Nabii Nathani alimwambia Daudi mfano wa kumuonesha mfalme dhambi zake.
  • Simulizi ya msamaria mwema ni moja ya mfano. Mfano wa Yesu wa viriba vipya na vya zamani ni moja ya mfano kama somo kwa wanafunzi wake ili kuwasaidia kuelewa mafundisho ya Yesu.