sw_tw/bible/kt/minister.md

700 B

muhudumu, huduma

Ufafanuzi

Katika Biblia, maneno "muhudumu" na "huduma" ya husu kutumikia wengine kwa mafundisho kuhusu Mungu na kujali mahitaji yao ya kiroho. Neno "muhudumu" pia laweza eleza mtu anaye tumikia watu kwa namna hii.

  • Katika Agano la Kale, makuhani "walitumika" kwa Mungu ndani ya hekalu kwa kutoa sadaka za dhabihu kwake.
  • "Huduma" zao pia ilihusisha kuhudumia hekalu na kutoa maombi kwa Mungu kwa niaba ya watu.
  • Katika Agano Jipya, "muhudumu" wa injili alikuwa mtu aliye fundisha watu wengine ujumbe wa wokovu kupitia imani ya Yesu. Wakati mwingine muhudumu anatwa "mtumishi"
  • Kazi ya kuhudumu kwa watu yaweza maanisha kuwatumikia kiroho kwa kuwa fundisha kuhusu Mungu.