11 lines
504 B
Markdown
11 lines
504 B
Markdown
# Myahudi, Yahudi, Wayahudi
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Wayahudi ni watu ambao ni uzao wa mjukuu wa Abrahamu, Yakobo. Neno "Yahudi" linatoka katika neno "Yuda"
|
|
|
|
Watu walianza kuwaita Waisraeli "Wayahudi" baada ya kurudi Yuda kutoka katika uhamisho kutoka Babeli.
|
|
Yesu Masihi alikuwa Myahudi. Isipokuwa, viongozi wa dini wa Kiyahudi walitaka kwamba auliwe.
|
|
Mara nyingi msemo "Wayahudi" inamaanisha viongozi wa Wayahudi, sio watu wote Wayahudi. Kwa mazingira hayo, tafsiri zingine huongeza "viongozi wa" kuiweka wazi.
|
|
|