sw_tw/bible/kt/cross.md

348 B

Msalaba

Ufafanuzi

Katika Biblia msalaba ni mbao iliyosimama wima inayochimbiwa kwenye ardhi na yenye mbao nyingine inayopita kwa mlalo na inayoshikizwa karibu na juu.

  • Katika wanyati wa utawala wa Rumi serikali ya Rumi ilimhukumu mhalifu kwa kumgongelea msalabani na kumuacha afe hapo.
  • Yesu alihukumuwa bila kosa na walimuua msalabani.