sw_tw/bible/kt/consecrate.md

11 lines
498 B
Markdown

# Wakfu
## Ufafanuzi
Kuweka wakfu ni kutenga kitu fulani au watu ili wamtumikie Mungu. Kitu au vitu vinavyowekwa wakfu ni vitakatifu na vinatengwa kwa ajili ya Mungu.
* Maana yaneno hili ni sawa na "kutakasa" lakini maana ya zaidi ni kumtenga mtu kwa ajili ya kumtumikia Mungu.
* Vitu vilivyowekwa wakfu kwa ajili ya Mungu ni pamoja na wanyama, madhabahu ya kuteketezea dhabihu na maskani.
* Watu waliowekwa wakfu kwa Mungu ni pamoja na makuhani, wana wa Israeli na watoto wa kwanza wa kiume .