sw_tw/bible/kt/blameless.md

15 lines
619 B
Markdown

# Bila mawaa
## Ufafanuzi
Neno "bila mawaa" kwa kawaida linamaanisha "bila lawama". Linatumika kumtaja mtu anayemtii Mungu kwa moyo wake wote, lakini haimaanisha kwamba hana dhambi.
* Ibrahimu na Nuhu walihesabiwa kutokuwa na lawama mbele za Mungu.
* Mtu mwenye heshima ya kuwa "bila lawama" anaenenda kwa namna inayomweshimu Mungu.
* Kwa mjibu wa msitari mmoja, mtu asiye na lawama ni "yule anayemcha Mungu na kujiepusha na uovu."
## Maoni ya Ufasiri
* Hii pia yaweza kutafasiriwa kama, "asiye na kasoro katika mwenendo wake" au "mwenye kumtii Mungu kikamilifu" au "kujiepusha na dhambi" au "kujilinda na uovu.