sw_tw/bible/kt/ark.md

794 B

Sanduku

Ufafanuzi

Maana ya kawaida ya "sanduku" ni sanduku la mbao la mstatili lililotengenezwa kwa ajili ya kushikilia au kulinda kitu fulani. Sanduku laweza kuwa kubwa au dogo kutokana na matumizi yake.

  • Kiingereza cha Biblia "Sanduku" limetumika kwa mara ya kwanza kuonesha kitu kikubwa, mashua ya mbao ya mstatili ambayo Nuhu aliitengeneza ili kuepuka mafuriko. Sanduku lilikuwa na gorofa chini, paa na kuta.
  • Njia za kutafsiri neno hili ni kusema "mashua kubwa" au "jahazi" au "meli ya mizigo."
  • Kwa Kiebrania neno ambalo linaweza kutumika kuelezea hii meli kubwa ni neno lile lile lililoumika kuelezea kikapu au sanduku lililotumika kumuweka Musa katika mto Nile ili kumficha.
  • Katika kuchagua neno la kutafsiri "sanduku" ni muhimu kujua ukubwa na limetumika kwa kazi gani.