sw_obs-tq/content/50/04.md

194 B

Je! Dunia inayomchukia Yesu utawafanyia nini wanafunzi wake?

Dunia itasababisha mateso kwa wanafunzi wake.

Mungu ameahidi nini kwa watakaokuwa waaminifu mpaka mwisho?

Ameahidi kuwaokoa.