Kila mtu, kutoka kundi lolote la watu, kila anayemwamini Yesu ameokolewa kutoka dhambi na anafanyika kuwa uzao wa Ibrahimu kwa jinsi ya kiroho.