sw_obs-tq/content/47/11.md

192 B

Je! Swali gani mlinzi wa gereza alimuuliza Paulo?

"Nifanye nini ili kuokolewa?"

Paulo alisema nini mlinzi wa jela alipaswa kufanya ili apate kuokolewa?

Alibidi amwamini Yesu, Mwalimu.