sw_obs-tq/content/47/09.md

190 B

Nini kilichotokea wakati Paulo na Sila walipoimba?

Kulikuwa na tetemeko kubwa lililosababisha milango ya gereza, na pingu za minyororo ya wafungwa kufunguka na kuanguka kutoka mikononi.