sw_obs-tq/content/47/06.md

163 B

Kwa nini wamiliki wa msichana mtumwa walikasirika kuwa pepo alikuwa amekwenda?

Waligundua kwamba watu hawakuweza tena kulipa pesa ili afanye utabiri kwa watu.