sw_obs-tq/content/47/04.md

285 B

Je! Msichana mtumwa aliyekuwa na pepo aliendelea kusema nini alipomwona Paulo na Sila?

Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye hai." Wanawaelezeeni njia ya kupata wokovu!"

Jinsi gani Paulo alijibu ushuhuda wa pepo?

Paulo alikasirika na akamwamuru pepo kumuachia msichana mtumwa.