sw_obs-tq/content/47/01.md

208 B

Jina la Kirumi ambalo Sauli alianza kutumia?

Paulo.

Paulo alikwenda wapi huko Filipi kutangaza habari njema juu ya Yesu?

Wakaenda mahali karibu na mto nje ya mji ambapo watu walikusanyika ili kuomba.