sw_obs-tq/content/46/08.md

172 B

Ni nani aliyemsaidia Sauli kukubaliwa na wanafunzi huko Yerusalemu?

Barnaba akampeleka Sauli kwa mitume na kuwaambia jinsi Sauli alivyohubiri kwa ujasiri huko Damaska.