sw_obs-tq/content/44/09.md

248 B

Kwa nini viongozi wa Kiyahudi walishangaa kwa uhubiri wa Petro na Yohana?

Petro na Yohana walikuwa watu wa kawaida, wasio na elimu.

Viongozi wa Kiyahudi hatimaye waliamua kuwafanya nini Petro na Yohana?

Waliwatishia na kuwaruhusu waondoke.