sw_obs-tq/content/43/05.md

263 B

Ni sababu gani ambayo baadhi ya watu walifikiri imesababisha wanafunzi kuzungumza kwa njia hii?

Waliwashitaki wanafunzi kwa kuwa walevi.

Petro alisema ni kitu gani kiliwasababisha kuzungumza lugha hizo?

Petro aliwaambia kuwa Mungu aliwashushia Roho wake.