sw_obs-tq/content/43/02.md

358 B

Ni siku gani ambayo Wayahudi huisherehekea Pentekoste?

Wanasherehekea kila mwaka, siku 50 baada ya Pasaka.

Nini kilitokea kwa waamini siku ya Pentekoste baada ya Yesu kufufuka toka kwa wafu?

Kulikuwa na sauti kama upepo mkali na kitu kama miale ya moto ilionekana juu ya vichwa vyao, wakajazwa na Roho Mtakatifu na kuanza kuongea kwa lugha nyingine.