sw_obs-tq/content/42/11.md

324 B

Kwanini Yesu aliwaambia wanafunzi wake wakamsubiri Yerusalemu

Walitakiwa kusubiri mpaka Baba atakapowapatia nguvu wakati Roho mtakatifu atakapo washukia.

Yesu alienda wapi siku arobaini baada ya kufufuka kwake?

Alikwenda mbinguni.

Yesu anafanya nini sasa?

Ameketi mkono wa kuume wa Mungu na anamiliki kila kitu.