Akawaambia, "muwafanye wanafunzi wa makundi yote ya watu kwa kuwabatiza kwa jina la Baba, la Mwana, na Roho Mtakatifu, na kwa kuwafundisha kufuata kila kitu nilichowaamuru."