sw_obs-tq/content/42/09.md

208 B

Yesu aliendelea kuonekana kwa wanafunzi kwa muda gani?

Aliwatokea kwa siku 40.

Ni kundi la ukubwa gani la wanafunzi waliomuona Yesu kwa wakati huo.

Aliwatokea zaidi ya wanafunzi 500 kwa wakati mmoja.