sw_obs-tq/content/41/05.md

129 B

Malaika aliwaambia nini wanawake walipofika kaburini?

Usiogope. Yesu amefufuka kutoka kwa wafu. Angalieni kaburini na muone.