sw_obs-tq/content/41/04.md

278 B

Ni matukio gani ya miujiza yaliyotokea kaburini kabla ya wanawake kufika huko?

Kulikuwa na tetemeko la ardhi na malaika alionekana, akavingirisha jiwe hilo, na kulikalia.

Askari walifanya nini walipomwona malaika huyo?

Waliogopa na wakaanguka chini kama watu waliokufa.